moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
"Kwa kuanzia tutaruhusu ligi ya mchezo wa soka, baadaye michezo mingine itafuata"
Waziri Mwakyembe
Waziri Mwakyembe
Majira ya vimbunga yanaanza rasmi Juni 30 mpaka Novemba 30. Wakati huo ndiyo majira ya joto na maji ya bahari ya Atlantiki yakipata joto tu mvuke unavuvumka unagongana na pepo kavu zinazotoka hukoo Afrika ya Magharibi basi kimuhemuhe kinaanza. Kuna imani kuwa pepo hizo pamoja na vimbunga eti hufuata njia ile ile iliyokuwa ikitumiwa na meli za wazungu wakati wa biashara ya watumwa. Mizimu ya Kiafrika inajilipiza kisasi !!!Vimbunga vipi hapo
Siyo mapema sana?"Kuanzia jumapili biashara zote za hoteli, migahawa nk ruksa mkoani Dar" Paul Makonda RC DarView attachment 1454274
Uchumi unaangamia. Hakuna namna. Wanaokufa wafe na wanaobakia wabakie. Nadhani ndipo walipofikiaCorona imewashinda
Ameshalamba mamilioni ya dola za mabeberu hana shida yo yote. Watu wa kawaida wataambulia hizi barakoa tu mchezo kwisha!Agawe na chakula,
Huyu jamaa haeleweki sometimes. Ni sawasawa tu na wa kwetu. Madaktari na tafiti zimeonyesha kuwa wagonjwa wa Korona wanaopewa Klorokwini wana hatari ya kufa zaidi na kuwa haisadii cho chote. Na kibaya zaidi hata wanaopona wengi wanakuwa na matatizo makubwa ya moyo japo hawajajua jinsi dawa hii inavyosababisha madhara hayo kwenye moyo. Huyu jamaa yeye kaikomalia na matokeo yake wafuasi wake wanakunywa pia ili kujikinga. Huko nyuma alisema watu wanywe/wajidunge madawa ya kufanyia usafi yanayoua virusi na kweli wafuasi wake wakaanza kufanya hivyo. Ni vurugu tupu !!!Inakuwaje, maana dawa hizo zamani ukimeza over dose lazima zikuharibu.
Wanameza kidonge kimoja kimoja au inakuwaje hasa?
Si kwa cheko hili wallahi. Mpaka nimevuta taswira ya kilichokuchekesha. Esta bana. Uanonimazi unakunyima mengi sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]