Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ilikuwa 2015. Ikarudi nyuma 2010. Sasa imerudi nyuma zaidi na kuwa 2005 wakati hata pengine ulikuwa darasa la kwanza au chekechea. Ai givapu [emoji16][emoji16][emoji16]
2005 nilikuwa na 18 ya kuniwezesha kupiga kura.wakati wa mkapa sikuweza kupiga kura maana nilikuwa na miaka pungufu.Mkapa anaingia madarakani Mimi Nina 8

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Liilikuwa kosa kubwa la kiufundi.
Nimemkubali sana dr Wilbrod Slaa, naamini Chadema wangebaki na Slaa hata kama wangeshindwa uchaguzi ule wangejenga taasisi imara, madhubuti na inayoaminika.
Dr Slaa alikuwa nguzo muhimu sana ndani ya Chadema, lakini kutafuta mafanikio ya shotikati kutaendelea kuighalimu Chadema
 
Siasa za Afrika ni shida.
Huku kwetu Temeke wana Ukawa walimpigania mbunge Abdallah Mtolea "CUF" kwa machozi, jasho damu kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Watu walikesha wakimpigania kwenye vituo vya kuhesabia kura.
Baada mshindi kutangazwa, walifanya maandamano makubwa toka kwenye kituo cha kuhesabia kura Uwanja wa Taifa mpaka nyumbani kwa mbunge huyo huko Buza.
Siku hiyo Temeke ilizizima kama wakati Mrema alivyopata ushindi dhidi Abdul Cisco Mtilo.
Maandamano hayo yalipofika Buza watu waliimba, walicheza nk, hali hiyo ilipelekea polisi kumuita Mbunge huyo ili awatawanye wafuasi wake.
Sasa tazama mbunge huyo aliondoka CUF kienyeji bila kuwafikiria wafuasi wake waliokesha na kuumizwa kwa ajili yake.
Ndiyo maana siwakubali wanasiasa
 
Hovyo kabisa....wanafata maslahi tu..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Baada kuwapima tena hapa nyumbani madereva wa Tanzania ambao Kenya ilidai wana corona, karibu wote tumekuta ni negative.
Kwa kifupi walichofanya Kenya ni michezo yenye maslahi ya kibiashara ambayo haikubaliki.
Nia yao ni kutuvurugia shufhuli za utalii"
Mrisho Gambo RC Arusha
 
Wahenga walinena "kila lenye mwanzo, lina mwisho"
Trump na Republican wanaelekea kuitenga Marekani na Dunia, hilo ni pigo kwao.
Madhara yake watajutia miaka ijayo
 
Yule mzee hakufanyiwa fugisu kwenye kura za maoni za CCM.
Mamvi alikosa sifa za kumfanya kuwa mgombea hatimaye urais kwa tiketi ya chama chochote.
Mheshimiwa huyo alitumia nguvu kubwa kupata nafasi hiyo ndani ya chama chake.
Alitumia pesa akiwashawishi watendaji Serikalini na chamani wasimame upande wake.
Alitumia muda mwingi kufanya kampeni kuliko muda aliotumia kusaidia utendaji wa serikali ya chama chake.
Vitendo vyake vilitishia uhai wa CCM.
Nikwambie tu, kama si uhodari wa Kikwete, Kinana na Nape CCM ingekuwa historia.
Adhabu aliyopewa ya kukatwa alistahili.
Lakini pia alionyesha ni mwanasiasa asiye na msimamo ndiyo maana imekuwa rahisi kwake kukisaliti chama chake ambacho kilimuamini na kumpa uwaziri tangu zama za mzee Mwinyi, Mkapa na uwaziri mkuu na mjumbe wa kamati kuu ya CCM wakati wa Kikwete.
Kitendo chake cha kujiondoa Chadema kurejea CCM kimewaonyesha watu uwezo wake wa kisiasa.
Mimi hata kura ikupiga[emoji23][emoji23][emoji23]
Vigezo nilikuwa navyo ila nilikuwa nimefungiwa shule huko.
Japo na mimi nilikuwa naunga mkono hoja mzee kuhama chama kwa sababu tu alifanyiwa figisu Kwenye kura za maoni
 
Ni kweli kwamba hakufanyiwa figisu?
Hebu kuwa mkweli.

Nape alikata Jina la mzee sasa hivi naye anajuta tu huko alipo..siasa chafu Sana[emoji3]

Mimi mzee nilimsapoti,hata ningekuwa ndio Mimi nimekatwa jina kwa vyovyote vile ningeondoka.

Chadema sijui mwaka huu watakuja kwa style gani uvha mkuu[emoji3526]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…