Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wewe kwa Kimalkia nakuaminia. Ulikuwa unakula na Shakespeare Lizarazu sahani moja. Watoto wa International school nyie tangu chekechea...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] khaa hivi unajua hilo neno ni nimetunga hapo hapo hata halina maana yoyote, mie kimalkia bado sana aisee.

Siwezi kumfikia Lizarazu hata robo
 
Lowasssa alijichafua na Chadema walitangaza uchafu wake kiasi cha kutosha.
Nilishangaa walipataje nguvu ya kumpa nafasi kubwa kama ile tena bila ushindani wowote.
Mpaka hivi sasa bado nawashangaa Chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…