Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Juisi ya parachichi,yogurt zinanenepesha haraka ila wakishuaaa ungetuwekea ka picha tutoe ushauri mzuri na kwa haraka
 
Majoka tu.
Kwenye mashamba ya miwa kuna Koboko wengi, Kobra na Vifutu wa kumwaga.
Hali ya unyevu inayopatikana humo inapelekea kuwepo na vyura wengi wanaosababisha nyoka wapatikane kwa wingi wakiwinda vyura na mijusi
Pa kawaida sana. Panachomwa moto kabla ya mavuno na wavunaji mnavaa mabuti na vifaa vingine. Kugongwa na nyoka inatokea mara chache sana na kunakuwa na antidote tayari tayari kwa sumu za nyoka wanaojulikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…