Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

20 ......yaan uchukue utajiri wa messi jumlisha utajiri wa Mo ....jumlisha utajiri wa Ronaldo...jumlisha utajiri wa Dangote... Chukua utajri wa Jay z bado hawamfikii huyo Faiq Bolkiah....kwa sasa Faiq anachezea timu ya leicester ya reserve....Faiq Bolkiah anatoka katika familia ya mfalme wa Brunei..
 
4 Ugiriki ndio nchi ya kwanza kuanzisha mfumo wa demokrasia..kwa kuruhusu watu kupiga kura...mfumo huo ulianzishwa tokea karne ya 5 kuchagua viongozi....japo kuwa mfumo huu uliruhusu watu wachache ambao ni lazima awe nwanaume na awe mtu mzima....kwahiyo wanawake, watumwa na wageni hawakuruhusiwa kupiga kura
 
6)Lugha ya kigiriki ndio lugha kongwe zaidi duniani inayoandikwa ambayo bado inatumika.....ni kweli huwezi kuzitaja lugha kongwe dunia bila kuitaja lugha ya kigiriki... Lugha hii ya kigiriki imetumika zaidi ya miaka 5000 iliyopita lakin bado inatumika hadi leo katika maandishi
 
Back
Top Bottom