Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20200520-WA0014.jpg
 
Adolf Hitler alizaliwa tarehe 20, April 1889. Tarehe 20, April kwa kila mwaka hufanyika maadhimisho ya kusheherekea uvutaji wa bangi.Kumbuka: Kwa mujibu wa tafiti zinaeleza Hitler alikuwa na Korodani' moja tu.
 
3) Sheria zake nyingi zinasimamia upande wa sheria za kiislamu.....asilimia 72 ya raia wake ni waislamu
 
4) Mwaka 2014 ...Brunei ilipitisha sheria ya wapenzi wa jinsia moja kufungwa miaka 10 jela na mwaka 2019 ikapitisha kuwa adhabu nyingine inaweza kuwa kupigwa mawe hadi kufa
 
5) Nchi hii inaongozwa kisultani .....ambapo sultani ndie mwenye kauli ya mwisho.....sultan wa brunei ndio waziri mkuu, ndio waziri wa fedha na ndie waziri wa ulinzi
 
Back
Top Bottom