Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

15) Hadi kufikia miaka ya 1990 bado mpinzani mkubwa wa nchi ya Ugiriki alikuwa ni Uturuki....nchi hizi zilikuwa kwenye maelewano mabaya kwa miaka mingi sana ....mwaka 1999 kulitokea tetemeko la ardhi na nchi hizi zikasaidiana na hapo ndipo uhusiano wa nchi hizi mbili ukaimarika
 
Walichagua kisiwa cha poveglia kama sehemu ya kuhifadhi baadhi ya wagonjwa nakuzikia miili ya watu , kitu ambacho kilisababisha ardhi ya kisiwa hicho kutapakaa miili ya watu wengi, na inasemekana wagonjwa wote waliokuwa wanapelekwa huko ni wale ambao walikuwa na asilimia ndogo sana ya kupona hivyo kalibia ya %98 ya wagonjwa wote waliopelekwa huko walikufa.
 
Mtu mmoja alipokea kichapo kutoka kwa polisi Nchini Uingereza baada ya kupiga simu ya dharura 999 ya polisi asubuhi na kuuliza polisi ni sehemu gani ambayo anaweza akapata mikate mizuri na mitamu ya kifungua kinywa , Polisi walikata simu kwasababu walijua wenda amekosea bahati mbaya lakini punde alipiga tena na kuuliza tena ndipo walipo mwambia awaelekeze anapoishi ili wakamwonyeshe sehemu iyo panapo uzwa mikate mitamu.
Ndipo walipo mfuata nakumpa kichapo huko huko nyumbani kwake kwa usumbufu.
 
Back
Top Bottom