Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20200520-WA0000.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi ya wafanyabiashara wakubwa wa meli
2) Nchi ya ugiriki ulipata uhuru wake mwaka 1821 kutoka Himaya ya Ottoman ambayo makao makuu yake yalikuwa Uturuki..kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2017 ina watu milion 10 ....mji mkuu wa nchi hii unaitwa athens ...na asilimia kubwa ya ardhi ya nchi hii ni milima.
 
Tafiti: 60% ya vifurushi vya intaneti (data) ambavyo watu nchini Tanzania hujiunga, hutumia kuangalia picha na video za ngono (Porn).Chanzo: TZ Business
Duh!!!!
Adolf Hitler alizaliwa tarehe 20, April 1889. Tarehe 20, April kwa kila mwaka hufanyika maadhimisho ya kusheherekea uvutaji wa bangi.Kumbuka: Kwa mujibu wa tafiti zinaeleza Hitler alikuwa na Korodani' moja tu.
 
Back
Top Bottom