Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Tarehe 24/11/1971, Ndege aina ya Boeing 727 ikitokea Portland na kuelekea Seattle Nchini Marekani ili tekwa na abiria mmoja aliyetumia jina Dan Cooper kwenye tiketi baada ya kutishia kuwa amebeba bomu ndani ya begi aina ya briefcase.
Mtu huyo alitoa amri ya ndege hiyo kutua katika kiwanja cha Tacoma , Seattle lasivyo angeiteketeza ndege hiyo kwa bomu.
Rubani wa ndege hiyo alifanya kama ilivyo mpasa, baadae mtu huyo alihitaji kiasi cha pesa kalibia Tshs milioni 500 na parashuti ili aweze kuiachia ndege hiyo.
Baada ya kupewa hizo pesa na parashuti mtu huyo aliamuru ndege hiyo kupaa na ilipo fika umbali wa altitude 3,000 m ,kwenye bahari ya pacific alijirusha nje ya ndege hiyo nakutumbukia ndani ya bahari hiyo.
Na toka hapo hajaonekana tena mpaka sasa na haikujulikana sura yake halisi maana wakati anaiteka ndege hiyo alikuwa amevaa kofia.
Lakini watafiti wanaamini alikufa kwasasababu alivyo jitupa hakujua kama sehemu hiyo ilikuwa ni usawa wa bahari hivyo alizama majini na kufa.