Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mtoto aliyepotea miaka 32 iliyopita amepatikana. Suala la watoto kutekwa nyara au kupotea limekuwa tatizo kubwa China kwa miongo kadhaa. Mwaka wa 1988, babake kijana huyo alikuwa akimpeleka nyumbani kutoka shule ya chekechea katika jiji la Xian mkoani Shaanxi nchini China. Mtoto aliomba maji ya kunywa, kwa hivyo wakasimama katika lango la hoteli. Wakati baba alipokuwa akimpozea maji ya moto, aliangalia kando kidogo na hapo ndipo mtoto alichukuli. Familia hiyo ilimtafuta mwana wao ndani na nje ya Xian, kwa kutumia vijikaratasi vya matangazo walivyobandikwa kila sehemu. Wakati mmoja walidhani wamempata lakini ilikuwa taarifa za uwongo. Bi Li ambaye ni mamake alijitolea katika kundi llililofahamika kama "Baby Come Back Home", ili kuwasaidia wazazi wengine kuwatafuta watoto wao waliopotea. Kipindi hicho waliweza kuwaunganisha watoto 29 na familia zao bila kuungana na mwanawe. Mwezi Aprili, shirika la habari la kitaifa lilitangaza kuwa, polisi wamepata kidokezo kuwa mwanamume mmoja mkoani Sichuan kusini magharibi mwa China aliwahi kusaili mtoto miaka kadhaa iliyopita. Polisi walimpata aliyesaili mtoto akiwa na miaka 34, na uchunguzi wa chembe chembe za vinasaba DNA, ulipofanywa ulibaini kuwa Mao Zhenjing na Li Jingzhi wana uhusiano. Polisi walisema wameambia wakuwa mtoto huyo aliuziwa wananandoa walili ambao hawakuwa na mtoto kwa yuan 6,000 sawa na (£690, $840 pesa za leo). Kijana huyo aesema atakuwa na muda na wazazi wake.
 
Mpishi Joshna Maharaj mzaliwa wa Toronto, mwanaharakati wa masuala ya chakula na mwandishi wa vitabu amesema kwamba anaukosefu wa uwezo wa kunusa (Anosmia) kwa muda wa miaka mitano. - Hali ya Bi. Maharaj ilisababishwa na uvimbe kwenye pua. - Mwaka 2019, alifanyiwa upasuaji ndani ya pua na baada ya muda aliweza kunusa harufu ya embe akiwa safarini kwenda Bangalore. Pua yake tena ilinusa harufu ya maua hotelini. Lakini baada ya wiki mbili alipoteza tena uwezo wa kunusa. - Maharaj amekuwa akifanya mazoezi ya kunusa. - Tafiti zinasema kuwa mafunzo ya kunusa hayawezi kuwa tiba kwa mtu aliyepoteza uwezo wa kunusa lakini inaweza kumsaidia mtu kwa kumpa uwezekano wa kupona kwa kusisimua neva, zinazopeleka taarifa kwenye mfumo wa neva. Kwa miaka mingi amepambana mno dhidi ya hali hii na akaamua kuwa makini anapopika vyakula vyake.
 
Kundi moja la wanasayansi wa Ulaya wanaamini wamegundua sababu inayosababisha kusongea kwa ncha ya kaskazini ya dunia (North Pole). - Ncha hiyo katika miaka ya hivi karibuni imekuwa ikisongea na kuelekea Siberia, na Urusi kutoka Canada. - Tukio hilo limefanyika kwa kasi hali ya kwamba imelazimisha sahihisho la mara kwa mara la mifumo ya urambazaji ya GPS, pamoja na ile inayotumia ramani ya simu zetu aina ya smartphones.
 
Kundi moja la wanasayansi wa Ulaya wanaamini wamegundua sababu inayosababisha kusongea kwa ncha ya kaskazini ya dunia (North Pole). - Ncha hiyo katika miaka ya hivi karibuni imekuwa ikisongea na kuelekea Siberia, na Urusi kutoka Canada. - Tukio hilo limefanyika kwa kasi hali ya kwamba imelazimisha sahihisho la mara kwa mara la mifumo ya urambazaji ya GPS, pamoja na ile inayotumia ramani ya simu zetu aina ya smartphones.
Duuh wana sayansi wameshindwa kicheza na mdudu covid 19...wale waimba singeli kesho utaskia watoto wa covidi wanangu wa covidi weka baaaariaaaahh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Heshima yako shemeji.
Habari ya huko uliko.

Hili pozi tutadiskasi baadae ila naomba tu kuuliza hiyo picha ilipigwa before au after?[emoji23][emoji23]

#ifyouknowyouknow

Huku salama shem. Natumaini hata huko ku salama....Mungu Aendelee kuwabariki nyie mashujaa wetu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Kwa jinsi walivyo, likely after [emoji16][emoji16][emoji16]
 
MHUBIRI MARTIN BROWN; Wanaosema fedha isikupe kiburi hawajui ni nini maana ya kutafuta fedha , mtu umesota kwa jua na mvua alafu linatokea jitu linakuletea pua yake kutaka kitonga linakwambia braza au sista nipige tafu ya msimbazi wakati kipindi unazisaka walikuwa hawakutambui , unamwambia hapo hapo hamna kumpepesea lugha akakupige tafu baba yako aliye kuzaa , ukizisaka ukipata vimba sana mpaka ardhi ipasuke ,waache waseme hawakuwepo kipindi unatafuta , hii kauli yangu nitaitetea hata mbele za Mungu mbinguni.
Mhubiri? Anahubiri injili gani hii? Ya Yesu Kristu au nyingine?
 
Kundi moja la wanasayansi wa Ulaya wanaamini wamegundua sababu inayosababisha kusongea kwa ncha ya kaskazini ya dunia (North Pole). - Ncha hiyo katika miaka ya hivi karibuni imekuwa ikisongea na kuelekea Siberia, na Urusi kutoka Canada. - Tukio hilo limefanyika kwa kasi hali ya kwamba imelazimisha sahihisho la mara kwa mara la mifumo ya urambazaji ya GPS, pamoja na ile inayotumia ramani ya simu zetu aina ya smartphones.
Sababu iko wapi Esta? Napenda sana haya mambo
 
Mwanamume mwenye umri wa miaka 31, Michael Cook, kutoka eneo la Litherland mjini Liverpool Uingereza, amehukumiwa kifungo cha wiki 12 gerezani baada ya kukiri kuwa amekuwa akimfuatilia mke wake wa zamani kwenye mitandao. Cook alimtumia mpenzi wake wa zamani kwa jumla barua pepe zaidi ya 4,000, alimpigia zaidi ya simu 300 na kumtumia mamia ya ujumbe mfupi ambo mwanamke huyo anadai ulimuathiri kiakili. Kulingana na mwanamke huyo Bw Cook alikuwa anamtumia ujumbe wa vitisho kuwa angejiua mara kwa mara na alitumia njia mbalimbali mfano aliwatumia ujumbe watu wa familia yake, wapenzi wake na marafiki hata wafanyakazi wenzake kazini. Mwanamke huyo aliamua kumshtaki mwanamume huyo ili mwanamke yeyote au mwanaume ambaye anapitia maisha sawa na yake kujua kuwa hii si sawa na kwamba lazima atafute usaidizi. Mahakama imemwamuru Cook kutowasiliana na mpenzi wake wa zamani kwa miaka mitano.
Bonge la Ex wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hawajaiandika huko nilipoicopy
Ungetunga hata ya kwako tu bana [emoji16][emoji16][emoji16]

Kuna mahali walisema kuwa pengine magnetic field polar reversal imeanza. Huwa inatokea magnetic field inajibadilisha kila baada ya muda. Ya North inakwenda South na ya South inakuja North. Hawajui ni kwa nini huwa inatokea hivi lakini wanaamini inakuwa na madhara makubwa kimazingira na hata hali ya hewa na ushahidi katika miamba unaonyesha massive extinctions katika baadhi ya vipindi hivi vya polar reversal. Na ikitokea sasa hawajui madhara yake katika vifaa vingi vya kielektroniki vinavyoendesha maisha yetu.....
 
Another pair is on the way [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
fashionabletwinning_20200520_223234_0.jpg
 
Back
Top Bottom