Tafiti: 60% ya vifurushi vya intaneti (data) ambavyo watu nchini Tanzania hujiunga, hutumia kuangalia picha na video za ngono (Porn).Chanzo: TZ Business
Tafiti: 60% ya vifurushi vya intaneti (data) ambavyo watu nchini Tanzania hujiunga, hutumia kuangalia picha na video za ngono (Porn).Chanzo: TZ Business
Adolf Hitler alizaliwa tarehe 20, April 1889. Tarehe 20, April kwa kila mwaka hufanyika maadhimisho ya kusheherekea uvutaji wa bangi.Kumbuka: Kwa mujibu wa tafiti zinaeleza Hitler alikuwa na Korodani' moja tu.
4) Mwaka 2014 ...Brunei ilipitisha sheria ya wapenzi wa jinsia moja kufungwa miaka 10 jela na mwaka 2019 ikapitisha kuwa adhabu nyingine inaweza kuwa kupigwa mawe hadi kufa
5) Nchi hii inaongozwa kisultani .....ambapo sultani ndie mwenye kauli ya mwisho.....sultan wa brunei ndio waziri mkuu, ndio waziri wa fedha na ndie waziri wa ulinzi
6) Raia wa Brunei anayeshinda kwenye mashindano ya Quran ya kimataifa hupewa BND 2000 ambazo ni sawa na Tsh milion 3 kila mwezi katika maisha yake yote