Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Duuh wana sayansi wameshindwa kicheza na mdudu covid 19...wale waimba singeli kesho utaskia watoto wa covidi wanangu wa covidi weka baaaariaaaahhKundi moja la wanasayansi wa Ulaya wanaamini wamegundua sababu inayosababisha kusongea kwa ncha ya kaskazini ya dunia (North Pole). - Ncha hiyo katika miaka ya hivi karibuni imekuwa ikisongea na kuelekea Siberia, na Urusi kutoka Canada. - Tukio hilo limefanyika kwa kasi hali ya kwamba imelazimisha sahihisho la mara kwa mara la mifumo ya urambazaji ya GPS, pamoja na ile inayotumia ramani ya simu zetu aina ya smartphones.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heshima yako shemeji.
Habari ya huko uliko.
Hili pozi tutadiskasi baadae ila naomba tu kuuliza hiyo picha ilipigwa before au after?[emoji23][emoji23]
#ifyouknowyouknow
Mhubiri? Anahubiri injili gani hii? Ya Yesu Kristu au nyingine?MHUBIRI MARTIN BROWN; Wanaosema fedha isikupe kiburi hawajui ni nini maana ya kutafuta fedha , mtu umesota kwa jua na mvua alafu linatokea jitu linakuletea pua yake kutaka kitonga linakwambia braza au sista nipige tafu ya msimbazi wakati kipindi unazisaka walikuwa hawakutambui , unamwambia hapo hapo hamna kumpepesea lugha akakupige tafu baba yako aliye kuzaa , ukizisaka ukipata vimba sana mpaka ardhi ipasuke ,waache waseme hawakuwepo kipindi unatafuta , hii kauli yangu nitaitetea hata mbele za Mungu mbinguni.
Sababu iko wapi Esta? Napenda sana haya mamboKundi moja la wanasayansi wa Ulaya wanaamini wamegundua sababu inayosababisha kusongea kwa ncha ya kaskazini ya dunia (North Pole). - Ncha hiyo katika miaka ya hivi karibuni imekuwa ikisongea na kuelekea Siberia, na Urusi kutoka Canada. - Tukio hilo limefanyika kwa kasi hali ya kwamba imelazimisha sahihisho la mara kwa mara la mifumo ya urambazaji ya GPS, pamoja na ile inayotumia ramani ya simu zetu aina ya smartphones.
Tunawahubiri wa kila aina dunianiMhubiri? Anahubiri injili gani hii? Ya Yesu Kristu au nyingine?
Bonge la Ex wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]Mwanamume mwenye umri wa miaka 31, Michael Cook, kutoka eneo la Litherland mjini Liverpool Uingereza, amehukumiwa kifungo cha wiki 12 gerezani baada ya kukiri kuwa amekuwa akimfuatilia mke wake wa zamani kwenye mitandao. Cook alimtumia mpenzi wake wa zamani kwa jumla barua pepe zaidi ya 4,000, alimpigia zaidi ya simu 300 na kumtumia mamia ya ujumbe mfupi ambo mwanamke huyo anadai ulimuathiri kiakili. Kulingana na mwanamke huyo Bw Cook alikuwa anamtumia ujumbe wa vitisho kuwa angejiua mara kwa mara na alitumia njia mbalimbali mfano aliwatumia ujumbe watu wa familia yake, wapenzi wake na marafiki hata wafanyakazi wenzake kazini. Mwanamke huyo aliamua kumshtaki mwanamume huyo ili mwanamke yeyote au mwanaume ambaye anapitia maisha sawa na yake kujua kuwa hii si sawa na kwamba lazima atafute usaidizi. Mahakama imemwamuru Cook kutowasiliana na mpenzi wake wa zamani kwa miaka mitano.
Hawajaiandika huko nilipoicopySababu iko wapi Esta? Napenda sana haya mambo
Mia Khalifa?
Ungetunga hata ya kwako tu bana [emoji16][emoji16][emoji16]Hawajaiandika huko nilipoicopy
Brazil dah!5) Ugiriki ndio nchi inayoongoza duniani kwa raia wake kufanya mapenzi sana...yaani namba moja ugiriki ikifuatiwa na brazil