Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mwaka huu mpaka kieleweke. Na kipindupindu kimeibuka huko Kenya. Mungu Atuwezeshe kuvuka hii 2020 salama [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Walisujudu. Hili dikiteta bana [emoji16][emoji16][emoji16]
Dada Amin Idi...
Poti nakutafuta. Nataka maelezo kuhusu hii app ndo nataka kuijaribu kwa mara ya kwanza. Nshaishusha tayari ila nasitaSHIMBA YA BUYENZE, Sendwave wamerudi Bro! Download App na ufanye usajiri, watataka upige picha ya ID yako; usistuke! Wapunguzie ndugu na jamaa safari za kwenda Posta!
Aslam aleiykum warahmatulah wabaqatu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]