Ukitangaza kwamba umegundua dawa ya kutibu corona, tutakukamata kisha tutakudunga sindano yenye Corona, tutakulaza hospitali huku ukiendelea kunywa dawa zako.
Ukipona serikali itakupa ushirikiano". Paul Atanga Nji,
Waziri wa Tawala za Mikoa wa Cameroon.
Kazi kwako babu wa Loliondo.