PIMBI WA KWENYE MIAMBA (ROCK HYRAX).
SIFA NA TABIA ZA PIMBI WA KWENYE MIAMBA
Pimbi ni wanyama wanaofanana au kuonekana kama sungura kwani wana miguu mifupi, mikia mifupi sana ( sawa na hawana mikia kabisa) na masikio ya duara. Sifa hizi zimepelekea wanyama hawa kupewa jina la Sungura wa kwenye miamba kwani wana fanana sana na sungura.