MACHUNGWA
Haya ni matunda matamu sana ,rahisi sana kupatikana na yenye faida nyingi mno kwa afya yako.Matunda hayab hupatikana kwa wingi bila gharama kubwa mfano kwa wale waliofika Morogoro na Tanga wanajua uwingi wa matunda haya. kama hujui tazama virutubisho muhimu sana viliyomo katika machungwa.Vitamin C __________________ 93%Fiber __________________ 13%vitamini B1 __________________ 9%Pottasium __________________ 7%Calcium ___________________ 5%Na virutubisho vingine vingi sana huku vikiwa na faida muhimu zaidi ikiwemo: