Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hizi ni baadhi ya faida muhimu sana za tunda hiliPamoja na tikiti maji kuwa tamu kwa ladha lakini tunda lina Karolies chache sana (105 Calories), wakati huo huo 92% ya tunda hili ni maji. Kitu hiki kina faida mno kiwenye mwili wako hasa baadhi kazi zile ambazo maji hufanya mwiulini hufanywa na tunda hili.Fibers na Maji ya tunda hili hukupa afya bora wakati huo huo likiwa na calories.
 
Lina vitamin C , Vitamini A, Vitamin B1, Vitamin B5, Vitamin B6 na virutubisho vingine vingi vyenye faida nyingi sana kama vile , kukukinga na kasa, kuboresha afya ya moyo,Ni tunda zuri sana kwa afya ya ngozi na nywere n.k .Litumie mara kwa mara uone faida hizi kwenye mwili wako.
 
.Tunda hili lina viritubisho muhimu sana kwa afya ya mwili wako mfano,Energy ____________ 97 kcalkabohydrate ____________ 23.38 gramsprotini ____________ 2.2 gramsVitamin A ____________ 1274 IUMagnesium ____________ 29 gramsMadini chuma ____________ 1.6 Milligramu
 
Na virutubisho vingine vingi sana vinavyokulinda na kansa, shinikizo la damu na shmbulio la moyo, magonjwa ya macho, Anemia, Ulinzi wa mwili dhidi ya magonjwa na matatizo mengine mengi ya kiafya. USIPUZIE tunda hili lina faida sna kwa mwili wako.
 
Tunda hili lina vurutubisho muhimu sana kwa afya kama ifuatavyo;Fiber ________________ 23%Copper ________________ 17%Vitamin C ________________ 10%Vitamin K ________________ 9%Takwimu hizi kwa mujibu wa Orodha ya mfumo wa ubora wa vyakula yaani Food Rating System Chart huonyesha matunda haya kuwa %DV ikimanisha kuwa peazi ndio tunda lenye uwiano sahihi sana wa virutubisho kuliko matunda mengine.
 
Tunda hili lina faida nyingi mno kuliko unavyoweza kufikiria ! Hebu tazama baaadhi yake >>>Hulinda ubongo ,Tango lina kirutubisho kinachoitwa Fisetin ambacho huupa ubongo afya bora sana, kwa kukusaidia kutunza kumbukumbu,na kuzidisha uhai wa seli mbalimbali kwenye ubongo.
 
Hukupa usafi wa kinywa na hewa toka mdomoni na ulinzi wa kinywa na meno, Tunda hili linao uwezo mkubwa sana wa kuua bakteria wanaosababisha harufu mbaya ya kinywa na magonjwa ya meno.Hivyo hukuepusha na hatari za bakteria hatari kwa kinywa na meno yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…