myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
😍😍😍😘😘😘😛😜😝karibu kujifunza elimu haina mwisho 😂
Inasemekana lakini...
Mashtaka ya kutosajiri line ya simu 😀 Tz Buana!Nmeona kasomewa mashitaka leo..
Ndio
Inasemekana lakini...
Eti akikufanya ni lazima utangaze kwa watu 10, la sivyo anakurudia. Kipindi hicho nilikuwa bado sina exposure na mambo ya naniliiiu
Ila bado najiuliza so alikuwa ni mwanaume machine au kiLemutuz 🏃🏃
Ila naamini zilikuwa ni porojo tu
Dah! Ilikuwa noma sanaNahisi zile zilikua porojo tu za binadamu kuhalalisha mambo yao...
Ila wakadhibitiwa waache mambo ya kishenzi...
Kwa sasa how much exposure do you have kabla sijasimulia...
Cc: mahondaw
Hahaha
Oh sikuwa nikijua ..Mambo ya kusajili line kutumia kitambulisho cha mtu mwingine...
Kisheria ni kosa lakini...
Cc: mahondaw
Ahsante Depal! Hujambo?capitalpool
Nakusalimia