Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mboga za majani ya kijani kwa ujumla zina rutuba ya madini chuma,madini muhimu,vitamini A na C, madini ya chuma yanahitaji utengenezaji wa hemoglobin(kemikali katika seli nyekundu)yaani damu inayosafirisha okisijeni mwilini,na vitamin C zinasaidia upokeaji wa chuma kwa mfumo wa miili yetu.
 
Mboga za majani nyingine kama biringanya,bitter gourd vimurutubushwa katika kundi B vitamin,Ni zaidi ya vitamin,mboga za majani pia zina kiwango kizuri cha madini kama chuma,potasiamu na madini mengi muhimu pia nyuzi nyuzi(fiber) zinazosadia chakula tumboni kuyeyuka na kutumika kisha upate choo kwa wepesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…