Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Sawasawa..Mboga za majani ya kijani kwa ujumla zina rutuba ya madini chuma,madini muhimu,vitamini A na C, madini ya chuma yanahitaji utengenezaji wa hemoglobin(kemikali katika seli nyekundu)yaani damu inayosafirisha okisijeni mwilini,na vitamin C zinasaidia upokeaji wa chuma kwa mfumo wa miili yetu.
[emoji818][emoji818]Mboga za majani,hususani zenye majani mengi zina kiwango kikubwa cha uchafu na vijidudu,kama azitosafishwa vizuri,pia zitasababisha kuhara kwa tumbo,Kwa hiyo zinabidi zisafishwe kwa umakini kabla ya kutumiwa.
Poa, za wewe?Mambo
8 8 pointWapi nije mimi kwa niaba
Makosa ya kutafutwa bro, inasikitisha sanaMashtaka ya kutosajiri line ya simu [emoji3] Tz Buana!
Safi sanaKwa watu kama sisi tunaofall in love mazima mpaka na viatu, wala nisingenotice kama kuna U badala ya A
[emoji23][emoji23][emoji23]makala za shangazi yako hiziKumekuchaa[emoji2296][emoji2296]
KabsaSwali kabla hujaswaliwa..
Ankoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Embe??!!!!!
[emoji125][emoji125][emoji125]Kifo halali yangu
Kwema huko Anko?Ankoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]