Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
😂 😂 😂 😂 😂 😆 😆 😆 🤣 🤣 🤣 🤣Utafiti wa huyu jamaa sawa tu na baadhi ya tafiti za Esta [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1461701
Dahhh!!!Huku kwema ankoo,sijui huko? Ndugu zangu hawajambo?
Sita sijaongeza ankoo[emoji2]
Tupambane Anko [emoji120]Ubarikiwe Ankoo kwa maneno yenye hekima na busara
[emoji125][emoji125][emoji125]Kumekuchaa.... In The Happiness's voice1. Mwanaume huzalisha mbegu milioni kumi za uzazi siku! Kwa maana hiyo, anauwezo wa kujaza idadi yote ya dunia kwa miezi sita tu!
[emoji16][emoji16][emoji16]Kama refa ana hali hii hao wapiganaji wenyewe wana hali gani? Boxing bana [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1461710
Zinachangamoto zake[emoji2]Dahhh!!!
Ila sita nayo imekaa kimtihani[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Amen[emoji120][emoji120]Leo umekuja kivingine kabisa. Kwa falsafa hii chanya kuhusu maisha hata Plato na Aristoto wakasome. Nikiongeza kitu nitaharibu...
Na leo sisomi kitu tena. Hii inatosha. Ni kuicheua tu na kuitafakari. Mungu na Akatusaidie [emoji1545][emoji1545]