Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimeona posti za babu yako.....alikuwa hatari sana
Nilisimuliwa habari zake na bibi yangu nikiwa mdogo. Tungewahi kuandika hizi habari ingekuwa safi sana. Afrika Magharibi kule yupo jamaa anaitwa Sundiata naye hata Mwanamalundi akasome kwa maajabu yake. Ila ndo hivyo. Habari zao hazijaandikwa po pote. Wagiriki wa kale miungu yao yote imo vitabuni na watoto wanaisoma....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…