Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Aisee, pole Esta.Kuna mod anazingua jana kafuta comments zangu 300 na block juu. Yaan nilifungiwa kuchat hapa. Ukute na wengine watakua wamefanyiwa hivyo.
Cheki hapo juu muanzisha mada ni jembe kilo ila wamemtoa wamemuweka mtu wao
Hapana. Jembekillo bado yupo. Huyo jamaa aliyepandishwa cheo ni mwingine tu na post yake ilikuwa ni ya pili au ya tatu...Au jembekilo ameslimu/amebatizwa akabadili jina?....
Msukuma ni mtu wa kwanza kuita gorofa za Dar Mabugando! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asante bradha.Sijui post zipi nimeona tu hapa kwenye sms zimepungua labda zile za utafitiAisee, pole Esta.
Zilikua zinahusu nini hizo post?
Manhattan pale mabugando kila kona aise [emoji16][emoji16][emoji16]Kule New York nilipofikaga nikaona TUBUGANDO twingi hadi nikasikia kizunguzungu kutuangalia. [emoji23][emoji23][emoji23]
Manhattan pale mabugando kila kona aise [emoji16][emoji16][emoji16]
Duh!Mazoezi muhimu sana !!!
View attachment 1463696