Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sidhani kama watafanya kitu cha aina hiyo.
Huu uzi labda usahaulike na memba wake wahamie mahali pengine, lakini kuufuta wameshachelewa.
Naona karidhika tu liwalo na liwe. Uzi nambari wani JF jamaa kauachia tu uende....

Ila mamods nao dah [emoji16][emoji16][emoji16]
Huu uzi unapigwa vita kila kona aiseee ipo siku tukilala tukaamka hatutaukuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…