Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa hiyo vyoo vya kukaa vinaleta matatizo?

Kuna wataalamu wengi wamelizungumzia hili na ni kweli kuna matatizo mengi yanajitokeza kwa utumiaji wa vyoo vya kukaa kama constipation na haemorrhoids na pia matatizo ya mkojo
Matatizo huanza unapovuka miaka 50 ila constipated linatokea mda wowote
Hakuna njia nzuri zaidi ya choo cha chini au kukaa umekunja mwili kwa kona ya 35 degrees
 
George Floyd alikamatwa na polisi tarehe 25 may mwaka huu, kwa kosa la kununua sigara kwa noti bandia ya $20.
Mfanyakazi wa duka moja huko Minneapolis Minesota Marekani aliwapigia simu polisi hao kuwa mteja mmoja (George Floyd) ametoa noti bandia.
Polisi walimkamta kisha walimkaba shingo kwa mguu, kitendo hicho kilipelekea George kupoteza maisha.
Tukio hilo limehusishwa na ubaguzi wa rangi kwahiyo karibia miji yote nchini Marekani watu wanafanya maandamano usiku na mchana bila kujali Corona wala polisi.
Baadhi ya miji kumewekwa hali ya tahadhali ya kutembea usiku, lakini waandamanaji wanaendelea na harakati zao kama kawaida.
Naweka picha za George Floyd hapo chini
Moud na SYB Naomba mnipe story hii.
Nasikia tu juujuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…