Damu yako inaendelea kuwaadhibu wanaodhani wana nguvuView attachment 1466238
Hafai yule. Eti anatuletea tung'ombe tumekonda tuna vichwa vikubwa kama siafu dume kha !!!Yule mzee nimemvumilia weeee wkt analima yale maparachichi yake, alivyoanza kuvuna tu akahamia na mjini jumla
AiseeNa hiyo kukaa sana chooni ndio mbaya zaidi kwani mishipa inabana na kupelekea kupata blood 🩸 clot
Na wengine hupata (CRC) Colorectal cancer
Huko unakosema mnasoma magazeti na kulala kabisa [emoji3516]
wengine tukienda haja kubwa tunalala kabisa, raha ya haja kubwa ujipakaze kama mtoto
Unampenda sana mtu fulani wa jinsia tofauti, na unajua kwamba yeye pia anakupenda. Isitoshe, huwa mnatumiana jumbe mara kwa mara, mnakuwa pamoja kwenye mikusanyiko ya watu . . . , na baadhi ya jumbe anazokutumia ni za kimapenzi.
Hivyo unaamua kumuuliza mtu huyo kuhusu uhusiano wenu, ili kupata uhakika ikiwa yeye pia anahisi hivyo. Anakujibu hivi: “Nakuona kama rafiki tu—hakuna jambo lingine.”