Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hee hivi kumbe Obama Ni mmarekani mweusi eeh?

SHIMBA YA BUYENZE na wewe upo hapa?
Mimi siwezi kuwa hapa. Hayanihusu haya. Nikapigwe mabomu na hata kuuliwa kisa nini? Mimi nisubiri kwenye heka heka za kampeni kwenye uchaguzi wetu. Utashiriki kikamilifu kumpigia kampeni rais wa Mbeya dhidi ya kale kamama keusi karefu kakimbaumbau kakakamavu? [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Asante kaka, jamaa hajui km pande za simiyu ndio nyumbani kwao ng'ombe.
Yeye alileta tu ndama mkondefu akijua tutabadili mawazo.
Hafai yule. Eti anatuletea tung'ombe tumekonda tuna vichwa vikubwa kama siafu dume kha !!!

Ulifanya vyema kumpiga chini. Mzee wa Kinyakyusa bahili hata Wapare wakasome. We ni mwanamke shujaa [emoji1547][emoji1547][emoji1547]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…