Huyu dadangu unamjua?
Wakerewe na nyinyi ishu ya mahari si ajabu itakuwa shida tu kama tulivyohangaika kwa Wanyakyusa [emoji16][emoji16][emoji16]
Watu tunarudishana nyuma Sana jamani [emoji26]Aisee. Nitakuja unipeleke kwa wataalamu wa hivyo. Mwaka huu kuna mtu kachuma nyanya zangu akapakiza kwenye gari na kwenda zake. Hovyo sana !!!
Nakajua haka kavulana kavuvi ka Kikerewe. Kasumbufu sana. Kaa nako mbali sis [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Hahahahaha kwhy anakufanyia fitina
Yaani fitina ile mbaya kabisa. 😀😀Hahahahaha kwhy anakufanyia fitina
Ai emu siriazi. Mimi siwezi kuhangaika kulima nyanya halafu mtu mwingine aje avune [emoji51][emoji51][emoji51]Watu tunarudishana nyuma Sana jamani [emoji26]
Ila kule kuna watu ni watata jamani [emoji23][emoji23][emoji23] mazao yao hayaguswi[emoji119]
Yaani ukifanikiwa kuondoka nayo shambani basi jua ukifika nyumbani mzigo wa mahindi hautoki kichwani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We nae unamsikiliza huyo?Hawa nao hamna kitu kweli kaka, hapa utaambulia gunia la samaki na dagaa tu
😂😂😂U-Ostaadh unapatikanaje? Nautaka aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1467014
Mi nshamaliza kazi [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]We nae unamsikiliza huyo?
Aisee..Watu watata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Huyu hafai kuwa mwizi.
Kule kwetu ileje ukiingia kuiba kwenye baadhi ya mashamba ya watu hautoki.. yaani utazunguka humo hadi mwenyewe atakapotembelea Shamba ndio akutoe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ai emu siriazi. Mimi siwezi kuhangaika kulima nyanya halafu mtu mwingine aje avune [emoji51][emoji51][emoji51]