We nae unamsikiliza huyo?
Ushaniruka dah !!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MUNGU atakulipia.
Mimi siwezi shiriki dhambi ya kukupeleka Huko.
Watu tunarudishana nyuma Sana jamani [emoji26]
Ila kule kuna watu ni watata jamani [emoji23][emoji23][emoji23] mazao yao hayaguswi[emoji119]
Yaani ukifanikiwa kuondoka nayo shambani basi jua ukifika nyumbani mzigo wa mahindi hautoki kichwani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siwezi kabisaUshaniruka dah !!!
Mi nitakuja tu hata usiponipeleka sawa [emoji16][emoji16][emoji16]
Sijui huwa wanafanyajeHii nzuri, naomba utaalam
Mi nitakuja [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]Siwezi kabisa