Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Safiii....pongezi wakulimaAsante sana kiongozi, majukumu ya kuzalisha vyakula yanaendeleaView attachment 1468598View attachment 1468599
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu unakuja unaambiwa eti mimba siyo yako [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
View attachment 1468752
SafiiiHahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Kilimo ukijizatiti hakikuangushi.
Sana sana kilimo cha kumwagilia.
Kilimo cha umwagiliaji kina maadui wachache sana kuliko kilimo cha msimu
Njooni Morogoro kwenye bonde la mto Wami/Ruvu tupige pesa kwenye kilimo cha mahindi ya kuchoma, tikiti maji, vitunguu saumu na vitunguu maji.
Pesa njenjeMambo ni kama hayo.
Rafiki mkubwa ni maji tuView attachment 1468754View attachment 1468756View attachment 1468757View attachment 1468759
Kutotembea usiku bila shaka.Taratibu zipi hizo?
Usiku wa kufaudu vinono [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Usiku uwe wa kupeana raha
AiseeUsiku wa kufaudu vinono [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1468822