Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uuuuuh sasa huyu naona anatafuta ugomvi na mama mkwe.
Wifi muhimu kuingia shamba, kubeba maji kichwani na kuchunga bila kusahau salama ya kupiga goti hd chini[emoji28]
Huyu hawezi aisee. Mayai balaa yaani. Mama mkwe keshamuweka kiganjani hafurukuti na wanapendana sana [emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…