Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lovy naye pia alikuwa baba wa familiya yenye watoto wanamuziki akiwemo binti yake aliyerithi uimbaji, Elly Longomba na mapacha Christian na Lovy ambao wote ni nyota katika muziki wa Hip-hop, wakimiliki Kampuni ya ‘Longambas’ huko Nairobi, nchini Kenya.
 
Vicky alikuwa mwimbaji mwenye sauti ya kati ya kuhamasisha, mara nyingi alishirikiana na waimbaji wengine wa studio, akina Roger Izedi na Fracois Engbodu ambapo waliweza kujilikana kama ‘Les Trois Caballeros’ kwa tafsiri ya Kiswahili ina maana ya ‘Waungwana Waspaniola Watatu’.
 
Akiwa na studio hiyo mwaka 1956 aliungana na mpiga gitaa Franco Luambo Luanzo Makiadi pamoja na wanamuziki wengine wanne wakajiunga na bendi iliyokuwa imebadilisha jina la OK. Jazz ikawa T.P.OK.Jazz kuenzi sehemu ilipoanzia bendi hiyo yaani katika Bar yenye jila la OK (OK. Bar)
 
Back
Top Bottom