Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Rais wa wakati huo Mobutu Seseseko Wazambanga kwa kuthamini mchango wake katika utamaduni wa Kongo, alimtunuku Vicky Longomba medali ya ‘National Order of the Leopard’, ikiwa ni medali ya juu kuliko zote huko (Zaire) wakati huo.
 
wizzypixel-20200607-0001.jpg
 
Kuondoka kwake kwenda Ubelgiji, kuliharibu uhusiano waka na bendi ya T.P.OK. Jazz hata alivyorejea kutoka huko aliungana na Dihunga ‘Djeskain’ Armando Brazzos aliyekuwa ametoka bendi ya T.P.OK Jazz, Johnny Pinnock na Leon Bholen Bombolo wakaunda bendi yao mpya waaiita Negro Success.
Sawasawa..
 
Back
Top Bottom