Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Duh!!Maandamano yanaendelea pamoja na kauli za shombo [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1470845
Sawasawa..Kuondoka kwake kwenda Ubelgiji, kuliharibu uhusiano waka na bendi ya T.P.OK. Jazz hata alivyorejea kutoka huko aliungana na Dihunga ‘Djeskain’ Armando Brazzos aliyekuwa ametoka bendi ya T.P.OK Jazz, Johnny Pinnock na Leon Bholen Bombolo wakaunda bendi yao mpya waaiita Negro Success.