Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,130
- 48,862
Weka likesDude in Gwajima's voice
Jaribu wali na maharage, hibiscus lemonade, vegan cheese and salad... mamantilie wa sauziii
Hahahaha
Taratibu tu unaenda nacho. [emoji116] [emoji116]Mdo mdo tu
Nitaweka tuu mkuu sina haraka na hichi chombo
Brother The choosen One117k
Huu uzi nadhani kuna watu wamekuja na mashuka yao na Misuaki wanalala humu humu.😀😀
Lazima FX ije inipeleke hapa. [HASHTAG]#slowbutsure[/HASHTAG]Let's eat... ndio raha ya kuishi.
Azaleia-caribea bar and restaurant mtaa wa kilimani ave, kuna nyamachoma bby ya kufa mtu, inakua served with rosted potatoes, kachimbari (cheese salads) pamoja na sukuma wiki... lazima utarudi tena.
Hahahaha cocochanelHe he heeee
Unanikumbusha enzi za kuwa na mimba nilipenda sana kula
Sikujali wapi naenda kula kilichonivutia nikikifata
Sasa nilipoona adverts za restaurants ndio uwiiiiiii
Wiki moja yote nitaenda hiyo sehemj kula kula kulaaaaa na kusubiria kingine cha kunivutia
Maisha matamu
Kumbukumbuuuuuuu