D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
dah sikuwa nafahamu hilo,Ya Jehovah Witness hii imechakachuliwa sana na ina tofauti kubwa mno na ile inayokubalika na wengi (King James version).
Mungu yupo Atawasimamia makamanda. Warekebishe tu kasoro ndogo ndogo halafu waendelee kupambana.miaka mitano ijayo kama chadema itaendelea kuwa hai basi waende Hijja ya imani zote.....jamaa amewakalia vibaya sana
View attachment 1474286
kwa faida ya vizazi vyao nibora warudi chini japokuwa ni usnitch....watanzania hatujawa tayari kupiganiwa haki zetuMungu yupo Atawasimamia makamanda. Warekebishe tu kasoro ndogo ndogo halafu waendelee kupambana.
Sijui huko kwenu kukoje lakini huku kwetu ni kila mtu na lwake. Ajabu kila mmoja ndiyo anadai yuko sahihi. Ukweli utajulikana siku ya mavuno, bila shaka.dah sikuwa nafahamu hilo,
Kupiganiwa sawa lakini pia na mpiganiaji awe na haiba na matakwa yanayoeleweka. Na mpiganiwaji ajue kweli kuwa yumo matatizoni na anahitaji kupiganiwa. About turn ya 2015 ina gharama kubwa mno na mpaka watakaporudi kwenye upya wa sera za kikombozi walizoanza nazo na kuachana na hizi siasa za mazingaombwe, matukio na kutafuta huruma ya umma kwa gharama yo yote ile, itawachukua muda sana nao kukaa kwenye viti vya mbele kwenye meza ya mfalme ili kufakamia keki ya taifa. Wakiri kuwa lilikuwa ni kosa la kimkakati kumkaribisha yule mzee na sasa wamerudi kwenye sera komavu endelevu. Natamani wafanye hivyo kabla hawajaingia kwenye uchaguzi wa mwaka huu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]kwa faida ya vizazi vyao nibora warudi chini japokuwa ni usnitch....watanzania hatujawa tayari kupiganiwa haki zetu
Huyu kavimbiwa madaraka? Bunge lijalo yeye anajua atakuwepo?"Atake asitake tutamlazimisha (Rais Magufuli)" - Mbunge Kessy kuhusu kuongezewa muda Rais @MagufuliJP ambapo Spika Job Ndugai amemtaka kulipeleka pendekezo hilo kama Azimio kwenye Bunge lijalo la 12.
"zaeni, muwe wengi..."Mungu aliumba wanadamu wawili wa kwanza, Adamu na Hawa, na akawaambia hivi: “Zaeni, muwe wengi, mjaze dunia na kuitiisha.” (Mwanzo 1:28) Hivyo, Adamu na Hawa wakawa baba na mama wa wanadamu wote. Kisha, baada ya gharika ni familia nne tu zilizookoka, yaani, Noa na mke wake pamoja na wanawe watatu na wake zao. Biblia inafundisha kwamba sisi sote tulitokana na watoto wa Noa.—Mwanzo 9:18, 19.
umezisikia kauli za ndugai?Huyu kavimbiwa madaraka? Bunge lijalo yeye anajua atakuwepo?
khofu yangu ni hizo sera na harakati komavu za kisiasa ndizo zitakazochochea kuumizwa zaidi kifikra, kimwili na hata kiuchumi.sasa wamerudi kwenye sera komavu endelevu. Natamani wafanye hivyo kabla hawajaingia kwenye uchaguzi wa mwaka huu
babuuuuuu nakusalimia"zaeni, muwe wengi..."
Kumbe amri ya kwanza kwa wanadamu ilikuwa ni kufanya ngono! Hizi mbwembwe zingine na makatazo kibao yametokea wapi?
Jamani, tupo hapa duniani kwanza, ngono na wadada waliojaaliwa futa. Pili, kula vitu vizuri na vitamu...
Mengine yote tuyafanyayo kinyume na haya ni ubatili mtupuView attachment 1474305
Najua nimechelewa kukutakia heri ya kuzaliwa na kukuombea yaliyo mema na afya njema humu lakini nilikutakia kimoyo moyo kwa upendo mkubwa sana.babuuuuuu nakusalimia
ahsante sana babu wa daresalamaNajua nimechelewa kukutakia heri ya kuzaliwa na kukuombea yaliyo mema na afya njema humu lakini nilikutakia kimoyo moyo kwa upendo mkubwa sana.
Mungu ni mwema muda wote yupo upande wetu [emoji120][emoji120]