Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Filamu za kutisha (Horrors) kuna muda hutumia Effects' za sauti zinazoitwa Infrasound ambazo ni za chini kabisa kwa uwezo wa binadamu kusikia. Hauwezi kusikia lakini unaweza kuzihisi, Infrasound husababisha mapigo ya moyo kukimbia kwa kasi ya ajabu!
 
Pichani ni Mlinda Mlango Sam Bartram wa timu ya soka ya Charlton', Uingereza. Mwaka 1937 ilichezwa mechi ya kirafiki dhidi ya Chelsea. Ukungu mkubwa ulitokea hali iliyopelekea mechi kuahirishwa dakika ya 61, Sam Alibaki golini zaidi ya dakika 20 akijua mchezo bado unaendelea.
 
Apps zinazo ongoza kwa kupakuliwa zaidi Google Play Store mpaka kufikia Machi, 2020.

1. WhatsApp Messenger- 56.71M
2. Tiktok- 48.94M
3. Instagram- 32.3M
4. FB- 25.55M
5. Slap Kings- 24.8M
6. Draw Climber- 24.56M
7. FB Messenger- 23.75M
8. Woodturning- 20.44M
9. FB Lite- 18.88M
10. Snapchat- 16.71M
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…