moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Huwenda kuna ukweli, jioni hii kenya imesema ina visa vipya zaidi ya 180 ndani ya masaa 24.
[emoji848][emoji848]
Hii rangi ni mabadiliko kwenye Jamiiforums yanaendelea au ni kwangu tu wajameni
Duh h!!! Huyo umri umeshaenda..Kocha wa Tottenham Jose Mourinho anataka kumsajili nahodha Thiago Silva, 35, anayekipiga Paris St-Germain kwa uhamisho huru msimu huu (Sun)
Hv huko walikokuwa wanaandamana mbona inaonekana hali iko kawaida tu na wkt tulikuwa tunasisitizwa kujilock down.
Hapo ndio unapoona kuna kiini macho