Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Those good ole days [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hulaliiii in kitos voice
Kazi ipoooo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sahihi kabisa Asante kwa ufafanuzi, Siwezi Kukunyima chakula ukipendachoMbona hapo kama kila kitu kipo wazi rafiki, wape heshima watu wote bila kubagua, au mie ndio lugha inanipiga chenga?
Usifanye unafiki wa kumjali mtu kwa vile kuna kitu unahitaji kwake, au umpuuze na kumdharau mwingine kwa kuwa haufaidii chochote. Wanasisitiza ili mradi ni binaadam, wape heshima wanayostahili bila kujali unatarajia au kupata chochote kwao.
Au unataka kuninyima ugali mlenda?
Those good ole days [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Daddy kalale sasa kesho utaumwa dah!
Uzi huu tumetoka mbali sana