Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Duh!!Kepler ni sayari inayofanana na Dunia kwa vitu vingi, Kuna maji, Oksijeni na pia Gravitational Force 9.8 m/s. Iko mbali sana, Kama chombo kitaenda kwa kasi ya mwanga 299,792,458 m/s itachukua miaka 5,000 kufika huko.
SawasawaKidogo Ulicho Nacho Kinaweza Kuokoa Maisha Ya Mtu Ambaye Hana Kitu Kabisa Hivyo Tukumbuke kumshukuru MUNGU Katika Kila Hali.
AiseeKila Mwanaume Anatamani Kuoa Mwanamke Ambaye Hafuati Ushauri Kutoka Salon Na Sehemu Za Kutengenezea Kucha
Kweli kabisa..Ongea Na Mwenyezi MUNGU Mwambie Kila Kitu Kilicho Kwenye Akili Yako Na Kukusumbua Na Uombe Mwongozo Na Msaada Kwa Kufanya Ibada
Mihogo imung'unywe kadiri iwezekanavyo...Karibu tupate vyakula vya asili vilivyosheheni virutubishoView attachment 1486986
Viazi vitafunwe kila wakati...Karibu tupate vyakula vya asili vilivyosheheni virutubishoView attachment 1486986