Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mumewe akapimwe kichwa huenda hana ubongo
Porn stars wengi wana waume kamanda. Wanasign mikataba na makampuni ya porn mf. Kucheza scene 20 kwa mwaka na kampuni fulani na wanalipwa. Na katika mikataba hiyo kila kitu kinaainishwa kuhusu scene zitakazochezwa kama ni threesome, ngono kawaida, tigo n.k. Vipimo vya kiafya vinafanyika na actors wa kiume atakaocheza nao wanajulikana. Siku ya shooting unamwendesha mkeo na kumpeleka kwenye shooting kama kawaida na jioni unakwenda kumchukua akiwa amevurugwa sawa sawa. Unaambiwa scene moja tu inaweza kuchukua hata masaa matano wakirudia tena na tena ili kupata material ya kutosha wakati wa editing kwa ajili ya toleo la mwisho. Shikamoo pesa !!!
 
Kamanda baada kuishi ughaibuni kwa miaka mingi kiasi hicho unaweza kujaribu kufanya kitu cha aina hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…