Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Aseee, samhani sana.
Jinsi ulivyoelezea na namna ulivyoweka ufafanuzi mwili wangu ulisisimka sana.
Niliogopa, nadhani siwezi kuishi baadhi ya nchi hapa Duniani
Kwa nini kamanda? Kwani haya mambo basi unayaona yakifanyika waziwazi? Hata kama jirani zako ndo wanafanya haya mambo huwezi kujua.

Kila mwaka porn industry huwa wanafanya tamasha kubwa kule Las Vegas na waigizaji waliotia fora kwa mwaka huo hupewa tuzo mbalimbali. Washindi pia hufanyiwa usaili wa kiundani sana na kupitia usaili huu ndiyo unaweza kupata angalau glimpse ya mabinti wanaotumbukia katika kazi hii. Wengi wao wanatoka huko vimiji vidogo wanakuja Los Angeles kujaribu kuwa waigizaji wa muvi za kawaida lakini wanakuta gemu ni gumu maisha yanawaendea kombo mwishowe wanajitumbukiza katika porn. Wengine wana uraibu wa madawa ya kulevya, wengine walifanyiwa udhalimu wa kingono utotoni na wachache husema tu kuwa ni kazi inayolipa vizuri na wanaipenda. Wapo walioacha kazi zao maofisini huko na kujitumbukiza kwenye porn ili wapate pesa za haraka haraka. Tatizo kubwa hata hivyo ni ukweli kwamba wanapiga pesa nzuri wakiwa bado wapya wapya hadhira bado haijawazoea na wakishazoeleka basi soko lao linaporomoka. Inasemekana wastani wa kudumu katika gemu ni miaka miwili tu mtu anakuwa ameshachokwa na mabinti wapya wanachukua nafasi. Hata hivyo wapo wachache ambao hukomaa na kubakia kwenye gemu mpaka kufungua hata makampuni yao na kuwa mamilionea. Kibaya ni kwamba baada ya kutoka kwenye gemu wengi wao hufa mapema sana ama kwa kujiua au drug overdose japo wapo wanaoenda kudumu katika familia zao na kuishi maisha ya kawaida.

Kwa hivyo usiogope kamanda. Maisha yako hayataathirika kwa namna yo yote ile na kuwepo kwa watu hawa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mke keshapatikana; na siyo Msukuma. Ni Mchaga [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ni kazi ya laana hiyo. Sasa utakuta maandaeitini wanajaribu kuiga wanayoyaona kule kumbe wale ni profesheno wanakula mpaka madawa ya kusafisha tumbo; na kinachowekwa kwenye muvi ni maigizo na kimekuwa edited sana. Wanaharibu dunia !!!
 
Duh! Maisha yana namna nyingi ya kupata pesa..
 
Mungu ni mwema kwa kweli. Vipi huko kwema?
Huwa nawaona mitaa ya Kati mara kwa mara na Ngosha,najiridhisha kuwa mna uimara wa afya zenu
Namshukuru Mungu kwa kweli, pamoja na misukosuko yote inayoendelea Duniani kwa ujumla sijambo. Ingawa huyu Corona amekuwa king'ang'anizi, hataki kuondoka kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…