Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kuna siku utalegeza kamba tu. Utakwenda wapi dunia ni hii hii tu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asante bro. Ndo raha ya kuwa anonymous. Yaani nipo kama google vile
Nimemiss majibizano yenu na Yego...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asante bro. Ndo raha ya kuwa anonymous. Yaani nipo kama google vile
π π π π π π kila siku nakemea jaribu lisinipateKuna siku utalegeza kamba tu. Utakwenda wapi dunia ni hii hii tu[emoji16][emoji16][emoji16]
Na mimi huku huwa napambana kila siku ulegeze kamba. Mwenye imani kali siku moja atashinda !!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kila siku nakemea jaribu lisinipate
Poti ana mbio yule. Wabishi ni cole na davetNimemiss majibizano yenu na Yego...
π π π π π π π π π π π π πNa mimi huku huwa napambana kila siku ulegeze kamba. Mwenye imani kali siku moja atashinda !!!
Yego ni muoga sana kuongea na warembo sijui shida nini?Poti ana mbio yule. Wabishi ni cole na davet
Jirani tutaenda hata kwa ungo!....ili mradi tusali humo siku moja[emoji23][emoji23]Jirani kwema?
Nimeona sehemu umeapa jua liwake mvua inyeshe, iwe vumbi liwe tope lazima ukalione hilo kanisa kwa msaada wa Ngosha.... Nami nasema hivi "nina haja ya kupaona mahali hapo,usinitenge kwenye hiyo safari,ikiwa tu sio ya kupanda ndege"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
π π π π π π π πYego ni muoga sana kuongea na warembo sijui shida nini?
Ila kaDavet ni kahuni kale katoto, kaliniomba sana kaje nyumbani nilikakatalia,kwangu kuna vibinti vingi, ningemfunga kwa kweli.Cole hana shida mtoto wa watu, mpooole...
AminUsiku uwe mwema kwetu wooote
Si ajabu punga hili limefanya makusudi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji125][emoji125][emoji125] kuweni makini na selfies tena mbela ya kiooView attachment 1487908