andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Nimerudia kusoma andiko langu nimegundua msisitizo niliouweka umehamisha kabisa kusudio la mwanzo.Ni kweli kabisa. Lakini anko una uhakika bado tunaongelea pombe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]weekend murua kabisa daah peke yako umejirudisha chekechea😂 😂 Yani nimecheka sana.....na zile alphabet nimeimba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka hapa umeshakunywa tayari
AiseeKatika mwili wa binadamu macho ndio kiungo kilicho haraka (fasta) zaidi kuliko viungo vyote.
SawasawaThe Quick Brown Fox,Jumps Over The Lazy Dog"hiyo sentensi ya unayoiona hapo ina herufi zote za alphabet kutoka A-Z .
Duh!!Wakati katika dunia yetu inanyesha mvua ya maji basi ni tofauti na sayari ya Jupiter ambayo mvua yake ni Almasi.