Kwa sasa namkubali sana huyu jamaa kuliko.
Zile pigo zake nazipenda sana View attachment 1490394
Asante sana kiongozi.Poleni wakulima wooote
Nani huyo? πUkerewe kule kuna mhenga mmoja nae nahisi katia nia maana ht awamu iliyopita alitia nia ila alichinjiwa baharini.
Kwa watu maalum...Uzi maalum
Eeeh, leo iko shughuli hapa; aah! πππMdomo wako unatoa hewa yenye joto ukisema "HAAAH" na unatoa hewa yenye baridi ukisema "WHOOOH"
Nani huyo? [emoji16]
Hahahah ushajaribuEeeh, leo iko shughuli hapa; aah! πππ
Hivi vitu vingine siyo vya kujaribu sasa hivi. Hapa Nansio siku hizi watu tunaogopa kwenda ER ujue, unaweza kutoka na vitu vingine huko. π πHahahah ushajaribu
Na hii je
Huwezi kupumulia pua wakati unaongea na huwezi kumeza mate mara tatu mfululizo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
Nzuri huyu yangu andjul umemficha wapiKwema kbs, bado tunavuna mipunga tu.
Habari za siku nyingi
π π π π π π π πHivi vitu vingine siyo vya kujaribu sasa hivi. Hapa Nansio siku hizi watu tunaogopa kwenda ER ujue, unaweza kutoka na vitu vingine huko. π π
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pesa hazimwachi mtu salamaMtu mmoja kutoka China alishinda zaidi Tsh billion 39 katika shirika la kamari wakati wa kupokea hela zake alivaa kinyago cha nyani ili ndugu zake wasimtambue. Je kama wewe ungefanya nini?
Mungu amzidishieMwanandondi kutoka ufilipino Manny Pacquiao amejenga nyumba zaidi ya elfu 1000 na kuwapa masikini wa jimbo lake.
AmenMungu amzidishie
Nzuri huyu yangu andjul umemficha wapi