Ukiachana na tuzo za kocha bora na mchezaji bora basi kuna tuzo ya shabiki bora hapa wa mwaka 2019 anaitwa SILVIA GRECCO toko nchi ya Brazil 🇧🇷🇧🇷 ,anaingia uwanjani na mwanae NICOLAS ambae haoni (kipofu) na kumuelezea tukio moja moja linaloendea uwanjani.
choo cha dhahabu chenye thamani ya Tsh billion 11.5 kinapatikana huko belenheim nchini uingereza ,usichokijua ni kwamba mabaharia walikiiba September 14 ,2019
Sio kila unachokiona ni ukweli unachokiona hapa sio chipsi yai ,ni vipande vya tunda aina ya peasi na hicho kiini cha yai ni kipande cha tunda Apple na ngano.