Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
lockdown bado inaendelea huko kwa trump?Mzigo [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1491605
swadakta,Mkuu umebadilisha I'd
Mkuu salama kabisaswadakta,
mapacha wanaendeleaje huko nyumbani?
Tena ndiyo inapamba moto katika majimbo zaidi ya 18; na watu bado wanakufa. Sema baada ya quarantine vijana wengi (below 40) ndiyo wanaambukizwa sana kwa sababu hawa ndiyo wanapenda mikusanyiko huko kwenye mabaa, night clubs, fukweni na kwingineko. Kwa vile ni vijana basi hata wakiipata haina makali sana kama ilivyokuwa kwa wazee hapo mwanzoni.lockdown bado inaendelea huko kwa trump?
mbona sizisikii tena takwimu za corona
Corona ni shithole tu bongolockdown bado inaendelea huko kwa trump?
mbona sizisikii tena takwimu za corona
Like father like sonTena ndiyo inapamba moto katika majimbo zaidi ya 18; na watu bado wanakufa. Sema baada ya quarantine vijana wengi (below 40) ndiyo wanaambukizwa sana kwa sababu hawa ndiyo wanapenda mikusanyiko huko kwenye mabaa, night clubs, fukweni na kwingineko. Kwa vile ni vijana basi hata wakiipata haina makali sana kama ilivyokuwa kwa wazee hapo mwanzoni.
Trump sawa tu na JPM. Anasema kupima pima sana na kutangaza idadi ya wagonjwa kunamfanya aonekane vibaya mbele ya wapiga kura na ni fake news zinazolenga kumchafua ili ashindwe uchaguzi Novemba. Kwa hivyo ni kama vile Korona inapuuzwa tu japo ipo...
Huyo mchumba wa kwenye avatar hajambo?swadakta,
mapacha wanaendeleaje huko nyumbani?
hajambo, anaendelea na shule licha ya coronaHuyo mchumba wa kwenye avatar hajambo?
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23] Yanga na Arsenal mtateseka sana mwaka huu[emoji23][emoji23]Leo mwaka wenu. Mkigeuka huku Klopp na lile tabasamu lake utafikiri beberu la mbuzi limenusa mkojo wa mbuzi jike; huku nako Simba anaunguruma. Furaha tupu yaani...
Sisi wa Yanga na Aseno ngoja tukae kimya tu [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]