Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,500
- 13,145
Kifo/Msiba pia ni sherehe.Nani Anaweza Kuwa Na Ujasiri Huu? Hapo Nyuma Ni Jeneza La Mama Wa Bwana Harusi, Harusi Hii Imefungwa Jana Kigamboni, Mama Huyu Alifariki Siku Ya Sendoff Ya Mkwe Wake. Wanandoa Wakaamua Kuunganisha Ibada Ya Ndoa Na Ibada Ya Mazishi On The Sameday, Je Wewe 'Ujasiri' Huu Unao?View attachment 1491908
🤗Aku[emoji18]
Na kwako piaAsubuhi njema
Amun RaMungu atupe siku njema
Amun RaIwe siku njema yenye Baraka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]moudgulf, kamtembelee huyu halafu ulete mrejesho jirani. Najua hii ni mitaa yako. Maendeleo hayana u-Liverpool wala Simba Sports. [emoji16][emoji16]
Amun RaAsalaam Alyeikum
YapUlimwengu wa kidigitali... #Hakunakubakinyuma
View attachment 1491933