Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mi ai donti noo inglishispeak english please
[emoji849]Ukiachana na kutumika kama dawa, Aloe Vera unatajwa kuwa mmea ambao huondoa mikosi na kuleta bahati zaidi kama utapanda nyumbani kwako.
Chanzo: Nytimes
Hahaha ankali shikamooThubutuuu...
Usicheke Anko, najihisi kudhurumiwa kwa mujibu wa utafiti.[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] nimeipenda hio style
Hahahah anko bana,kitimoto tamu sanaUsicheke Anko, najihisi kudhurumiwa kwa mujibu wa utafiti.
Ahsante kwa huu utafiti, nitaanza kuzitafuna ndizi kachumbari na mchicha kwa kasi ya ajabu kuvuruga mipaka [emoji1][emoji1][emoji1]
Nimsikie Inlaw, ananiuliza kwanini nimeweka nywila kwenye tekno yangu!! hiiiiiiTanzania: Kutokuwa na nywila (Password) katika simu yako, Ni kosa ambalo adhabu yake yaweza kuwa faini zaidi ya Tsh milioni 2, kifungo cha miezi 12 jela au vyote kwa pamoja. Hii ni kwa mujibu wa kanuni za maudhui ya mitandao mwaka 2018.
[emoji125][emoji125][emoji125]nikafute zanguWanaume wanaopenda kuweka mitandaoni picha zao kuliko za watu wengine kuna uwezekano mkubwa wanasumbuliwa na matatizo ya akili, Kwa mujibu wa utafiti kutoka Chuo Kikuu Cha Ohio.