myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Aisee
Aisee
Duh!!Benard Membe asema atagombea urais wa Tanzania upinzani ukimpa ridhaa
AiseeMWIGIZAJI WA GHANA ALIYEPIGA PICHA ZA UTUPU NA MTOTO WAKE; AOMBA RADHI. Mwigizaji wa Ghana wa Rosemond Brown maarufu kama @akuapem_poloo ameomba radhi baada ya kupost picha ya utupu (kama alivyozaliwa) akiwa na mtoto wake wa miaka saba. Akuapem Poloo alipost picha hiyo kwenye ukurasa wake wa instagram Jumatatu, Juni 30, 2020 kusherehekea siku ya kuzaliwa ya mtoto wake aliyetimiza miaka saba. Watu mbalimbali, vyombo vya habari, walimtuhumu mwigizaji huyo pamoja na mashirika kadhaa ya asasi za kiraia, na Shirika la Haki ya watoto ya Kimataifa kuitaka Idara ya Upelelezi wa Jinai ya Polisi (CID) ya Huduma ya Polisi ya Ghana kuangalia jambo hilo kuwa ni kama uvunjaji wa kanuni ya ustawi wa Sheria ya Mtoto. Pamoja na kuomba msamaha alisema; Yeye huoga bafuni pamoja na mtoto wake huyo kila wakati.View attachment 1495254
Duh!! Huyo jamaa mtata sana'Kuvaa barakoa ninapowasalimia marais, mawaziri, maikteta, wafalme na malkia- kwa kweli sioni nikivaa.''
Lakini Trump amesisitiza mara kwa mara kuwa kuchagua kufuata muongozo wa wataalamu wa afya kuhusu barakoa ni suala la uamuzi binafsi.
[emoji120][emoji120]Hongera wakulima wooote
[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji120][emoji120]View attachment 1495433
Mzinga wa kinu cha nyuklia unaelea tu angani. Unaambiwa nishati inayotoka hapo kwa sekunde moja tu inatosha kwa mahitaji yote ya binadamu tangu kuumbwa kwa dunia. Mungu ni fundi wa ajabu na matendo yake ni makuu mno [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Huyu sasa hata Uwoya akasome [emoji16][emoji16][emoji16]MWIGIZAJI WA GHANA ALIYEPIGA PICHA ZA UTUPU NA MTOTO WAKE; AOMBA RADHI. Mwigizaji wa Ghana wa Rosemond Brown maarufu kama @akuapem_poloo ameomba radhi baada ya kupost picha ya utupu (kama alivyozaliwa) akiwa na mtoto wake wa miaka saba. Akuapem Poloo alipost picha hiyo kwenye ukurasa wake wa instagram Jumatatu, Juni 30, 2020 kusherehekea siku ya kuzaliwa ya mtoto wake aliyetimiza miaka saba. Watu mbalimbali, vyombo vya habari, walimtuhumu mwigizaji huyo pamoja na mashirika kadhaa ya asasi za kiraia, na Shirika la Haki ya watoto ya Kimataifa kuitaka Idara ya Upelelezi wa Jinai ya Polisi (CID) ya Huduma ya Polisi ya Ghana kuangalia jambo hilo kuwa ni kama uvunjaji wa kanuni ya ustawi wa Sheria ya Mtoto. Pamoja na kuomba msamaha alisema; Yeye huoga bafuni pamoja na mtoto wake huyo kila wakati.View attachment 1495254